Letra da Música Maajab de Mbosso

Que bom que você chegou até aqui!
Veja abaixo a letra da música que separamos para você!

Música em MP3
Nana na naa
Naa nana naa na
Naa nana naa nanaa naa nana
(Instrumentals)
Moko mokoo
Imara kashikilia, mwache avimbe bichwa
Wallah kanipatia, anastahili sifa
Chumba kizima chanukia, uturi kajifisha
Vidole nasimamia, ukingoni nafikishwa
Brigde
Ananikosha mwili, kwa maji ya madafu
Yendo kocha na ananifunza kucheza rafu
Anijua tumbo la ng'iri, kwa mafuuta ya karafuu
Nikichoka ananikanda kwa mabarafu

maajabu maajabu, penzi lake la ajabu
maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu × 2

Kifuani unipaka harua, mikono tende anazichambua
Anilambaa aah
Kitandani humwaga maua
vingine hata chembe sikuwa najua. hanitoa ushamba aah uuh
Na nitake nini kwake? Niombe nsipewee
Iwe pemba ama chako chake, nichague mwenyewe eeh
Kanipa pombe roho yake, ninywe nilewe eeh
Mambo shega ni mwake mwake, mangaka msewe eeh
Libanikee penzi kama gazeti walisomee
tuwa adabishe sangara shombo vibetwe tuwango'e
Ni kila nilishe
chapati za alizeti ni none, tuwafungishe midomo uzi cement tuwashonee
Ananikosha mwili kwa maji ya madafu
Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu
Anijua tumbo la ngi'ri, kwa mafuta ya karaafu
Nikichoka ananikanda kwa mabarafu

maajabu maajabu, penzi lake maajabu
maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu × 2
(Instrumentals)
Ayo laizer
Wasafii... haluwa haluwa, hunipa vitamu laini lainii... haluwa haluwa
Kinyama cha hamu, uhondo utosinii. haluwa haluwa
Sili kwa kijicho nalishwa kwa ulimii. haluwa haluwa
Napewa hadi vya miko sa nitake nini?

Outras Músicas de Mbosso

Conheça aqui outras músicas de Mbosso que você poderá gostar.

Baixar Música Maajab (Mbosso) em MP3

Você pode baixar (fazer o download) ou ouvir diretamente a música Maajab de Mbosso no seu celular ou computador através do player abaixo.

Ouvir "Maajab"
na Amazon Music Unlimited
Ouvir "Maajab"
na Amazon Music Unlimited
Baixar Música Agora!

Ficha Técnica da Música Maajab

Número de Palavras179
Número de Letras1417
IntérpreteMbosso

Na tabela acima você vai encontrar dados técnicos sobre a letra da música Maajab de Mbosso.

Amazon Music Unlimited